Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Klabu hiyo kadhalika inafanya mazungumzo na mlinda mlango rai awa Argentina Sergio Romero kwa ajili ya uhamisho huru lakini itawalazimu wazipiku Juventus na Celta Vigo ambazo zote zinamuwania mlinda mlango huyo mkongwe, mwenye umri wa miaka 34 ambaye aliwahi kuichezea Manchester United. (Mail)
 
Licha ya kuonyesha kabumbu safi wakati wa michuano ya Copa America, mshambulaiji wa Blackburn anayekipiga na tiu ya taifa ya Chile, Ben Brereton mwenye umri wa miaka 22, huenda asisajiliwe na Leeds United ambao hawajaonesha nia ya kumtaka. (Lancs Live)
 
1.KAA CHINI NA UANGALIE LENGO HASA LA WEWE KULIANZA JAMBO HILO. ZIKUMBUKE SABABU ULIZOJIWEKEA MWANZONI KWAMBA NI KWANINI UNATAKA LENGO LAKO LITIMIE. ITAKUFANYA UJIONE MPYA NA UHISI KWAMBA NDIO KWANZA UNALIANZA!
 
4.ELEWA KWAMBA, VIKWAZO NA CHANGAMOTO NI MUHIMU WAKATI MWINGINE! KIKUBWA NI KUJIPA MOYO, KUBORESHA MIPANGO YAKO KULINGANA NA MUDA NA MABADILIKO YA DUNIA, NA LA MUHIMU ZAIDI NI KUJIFUNZA KUTOKANA NA VIKWAZO NA CHANGAMOTO ULIZOZIPATA!
 
9.KUMBUKA, UKIJARIBU NJIA KUMI UKASHINDWA KUFIKA UNAPOKWENDA, UKAWEZA MARA YA KUMI NA MOJA, HUJAPOTEZA KITU BALI UMEGUNDUA NJIA KUMI ZISIZOFANIKISHA! HIVYO WAKATI MWINGINE HUTAPITIA NJIA HIZO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…