Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1624680715877.jpg
 
Ndiyo. Huku kwema bro. Nimegundua kijiwe kingine nashindaga huko siku hizi. Hapa nakujaga kuchungulia chungulia tu mara moja moja ili kuona tafiti za Esta zinavyoendelea. Mungu Aendelee kutulinda bro [emoji1545][emoji1545]
Asante sana bro, Mungu ni mwema, acha tuendelea kupata madini ya Esta.. Maisha ni haya haya
 
Mlinzi wa timu ya Real Madrid Raphael Varane anataka kujiunga na mashetani wekundu Manchester United wakati wa majira ya kiangazi, lakini huenda mchezaji huyo raia wa Ufaransa mwneye umri wa miaka 28, akakwamishwa na kitita alichokitaka cha Euro 400,000 kwa juma. (Independent)
 
Mashetani wekundu Manchester United wamemng'ang'ania winga wa England Jadon Sancho mwenye umri wa miaka 21 anayekipiga katika klabu ya Borussia Dortmund. Kama mambo yataenda sawa huenda kinda huyo akakamilisha uhamisho majuma mawili yajayo.(Manchester Evening News)
 
Manchester United huenda wakakubali kitita cha fedha ili kumtoa mshambuliaji wao raia wa Ufaransa Anthony Martial mwenye umri wa miaka 25, na kiungo Mholanzi Donny van de Beek mwenye umri wa miaka 24. Ikiwa wachezaji hao watauzwa wataongeza fungu la mshateni wekundu katika usajili wa majira ya kiangazi.(ESPN)
 
Mwanasoka bora wa dunia Lionel Messi rai awa Argentina, anasalia katika mazungumzo na klabu yake ya Barcelona kuhusu mkataba mpya ingawa kuna mambo nyeti ambayo pande mbili hizo hazijakubaliana. Mkataba wa Messi mwenye umri wa miaka 34 unaisha juma lijalo.(Sky Sports)
 
Back
Top Bottom