1. Hupunguza maumivu ya mwili, akili, na nafsi. Kwa mujibu wa utafiti uliofanyika katika chuo cha Duke kitengo cha madawa, kwa watu 61 waliokuwa na maumivu makali ya mgongo, ilibainika kuwa, watu wenye uwezo mkubwa wa kusamehe, hupunguza maumivu kwa asilimia 50!
3.Unapomsamehe mtu unapata faida nyingi zaidi kuliko anayesamehewa, kwani unapokaa na kisasi ni sawa na kukumbatia moto ukisubiri umchome mtu. Ukweli ni kwamba, utaendelea kuungua na kujiteketeza.
3.Unapomsamehe mtu unapata faida nyingi zaidi kuliko anayesamehewa, kwani unapokaa na kisasi ni sawa na kukumbatia moto ukisubiri umchome mtu. Ukweli ni kwamba, utaendelea kuungua na kujiteketeza.
6.Unapojaribu kulipa kisasi maana yake unachimba makaburi mawili, la adui yako na la kwako kwani Kisasi huwa hakimaliziki kwa kuwa daima hutarudhika, na adui daima ataona umemuumiza zaidi hivyo atahitaji kulipa kisasi pia. (eye to eye leaves the whole world blind) Jufunze Kusamehe ili maisha yaendelee.
8.Huongeza siku zako za kuishi kwani usiposamehe utakosa furaha ya maisha. Utafiti unaonyesha kuwa watu wengi wenye umri zaidi ya miaka 70 wanauwezo mkubwa sana wa kusamehe, pengine ni moja ya sababu ya wao kuwa na maisha marefu zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.