[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kisu huyo ni mama...hazijui hizo lugha ngumuKama unapenda mbele baki mbele,kama unapenda kuanzia nyuma nenda.
Hahahahah asante my dia[emoji23] [emoji23] [emoji23] endelea tu huko,mimi nipo huku nyuma.Baba na mama ni kusaidiana
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Nipo huku naja mamaAndjul my baby, uko wapi?
Relax mama maana kisu kimegusa mfupa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Honesty huu utan siupend tangu utoton
Sipo kwa ajili ya uhawara humu,likes only
Kama ho chi ni kidume akatongoze mtaan kwao,sio fake ID kuja kuleta ukidume wa kishamba humu
ho chi minh taarifa amekupa vizuri sana.Unavamia zizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Punguza jaziba mambo hayataki hasira haya mdogo mdogo tu mama ubuyu.No way
Numbisa sijakutaja kokote wewe!Honesty huu utan siupend tangu utoton
Sipo kwa ajili ya uhawara humu,likes only
Kama ho chi ni kidume akatongoze mtaan kwao,sio fake ID kuja kuleta ukidume wa kishamba humu
Take it easy guess was a joke, not that serious!.No way
Amen.Unanipeleka kileleni kwa kuisikia sauti yako[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nalusalimu katika Bwana
Numbisa ubuyu njoo huku kwanza maana kqzi ndio inaanza.Numbisa sijakutaja kokote wewe!
Pia hata hivyo sidhani kama kuna mtu ana maisha yake halisi humu ndani,
Hii ni sehemu ya kuburudika tu hakuna kingine,
Kama umekwazika na lolote samehe basi.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Am okay na uwepo wako nimekuwa super human kabisa [emoji173]Me more darling...mzima wewe
Mweh mweh hahahahhahaAmen.Unanipeleka kileleni kwa kuisikia sauti yako[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app