Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mazizi lazima yaingiliwe kichwa,
Haiwezekani tukate tamaa wkt kila kitu kinaenda sawa.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kuna watu walisema lile tangazo ni fake.


Sasa tunaomba kutangaza tena.


Mjisajiri upande unaotoa tangazo maana uvunjaji wa mazizi bado unaendelea tar 10 ndio ilitakiwa tuanze ila zoezi limeanza mapema.
 
Kwendaaaa,nahangaika kusoma kumbe bado mnaendeleza ukibiti wenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Uniq pamoja na ugomvi wangu na wewe amini hakukuwepo na kitu kibaya katika post zangu ama ya kichwa kichafu,
Tunafurahi kwa sababu hili ni jukwaa la kufurahi tu.

Je hapa kuna uadui wa kweli?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hakuna ila vita ya mazizi hata la uniq sidhani kama tutamuacha salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…