Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ngoja nisake simu unayotumia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi mpaka nimeenda kwenye setting na kuinyamazisha hiyo signature uchwara. Nafurahi nimekuwahi kabla hujaona kimkweche changu cha simu kilichojaa rubber band kibao...Hahahaa leo nimefahamu aina nyingi za simu humu
Hivi vita havitaisha salama [emoji23] [emoji23] [emoji23]
MuswanoYes boss jana na leo, niambie [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Noted,, kula likes mkuu.Usimjali huyo. Ni mpayukaji in chief wa hii thread. Tumeshamzoea. Kila siku anatangaza vita hewa...
Who? Me?
Ulivyoelewa ndivyo!Hapo anamaanisha LIKES
au mimi ndo outdated
ho chi minh mzee wa ikwiriri huyu anajipenda kweli.Tatizo lenu mna pupa sana
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Amen.Dogo naona kama shule inakusaidiaNilishtuka ikabidi nirudi nyuma. Hope yataisha natamani kuwe na amani humu ndani.
Upebdo nikitu kikubwa sana. Kwa alie kwazika polee zake. Hope vitu vitakaa sawa.
Amani ya Kristo iwe nanyi
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Tutakuwa mbele ya MakapukuNnafikiria baada ya miezi miwili hii thread itakuwa wapi