Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
4e7110d51a497a2dcd1701b9888df361.jpg


Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii picha ilinifurahisha sana jana...nani kadoda vile
 
Hospitalini

Amina;-- Tumbo linaniuma sana toka jana
Daktari;-- Pole, utapona ulikula nini jana kabla ya tumbo kuaza kuuma?
Amina;- Pizza, keki, nyama choma na juisi
Daktari; Tafadhali sema Ukweli hapa ni Hospitalini sio Instagram au facebook.
Amina: maparachichi na ugali maharage.
 
Back
Top Bottom