Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2adc625701335a32053fae36727a502e.jpg
 
Hahhahahaha vitu MMU na kichwa kichafu si hivyo bhana.


Ila leo nimefanya hivyo maana kuna siku niliona unataka pambano kati ya andjul na uniq nikaload fasta kwanini nami nisikutafute anga ambayo nilijua huwa haupo nami nikagusa kule kule maana vita vya andjul na uniq uchungu wake huwa kama huo ulioupata leo ila huwa hamna mtu achukuliae serious sana ndio maana tunapotezea humu humu.




Kula likes kwanza hiyo Numbisa huku mimi na mzee mwenzangu ho chi minh tukiendelea na vita hivi kwa wapinzani wetu.




Amani amani Numbisa ubuyu
Hahahaha
 
Back
Top Bottom