mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Morning Mkuu nacheka asbh hiiANGALIZO
kuna watu hawana brek wao wana like hadi wana unlike! Valisheni pete vidole vyenu ni virefu
Hahahaha IN TIME!Haukuelezea
Nzuri sana my dearZa asubuhi
Machozi yamekwenda na majiKilio cha samaki,machozi yamekwenda na maji.
Hahahaha IN TIME!
Kwema sana my dearKwema wakuu?
Kichwa ametangaza kuvamia mazizi yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa na maisha magumu na akina Kichwa watampa wakati mgumu sana. Nitajaribu kuongea naye...
ExodusUzi namba ngapi?
Kauli hiyo ya makato ameitoa nan???Kuna mpango wakitaifa wa ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha standard gauge
Mkuu huku kibiti hali ni shwari kabisa.Kichwa Kichafu, kama uko salama huko Kibiti wake up. Ni siku nyingine ya kwenda kusaka totoz...!!!
Exodus
Safi sana[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kifungo cha hiari.Jana nilikuwa na wageni lakini muda wote macho na vidole vilikuwa kwenye simu.
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Gonga likesKauli hiyo ya makato ameitoa nan???
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app