Hahahaha
Kweli mtu huvuna alichopandaKama walio nizunguka ni watu wenye nia njema, hakika watabarikiwa! Kwani mtu huvuna aliyo yapanda
Watu wananishauri ni badili.Usibadili mkuu mbona imekaa poa sana ni ya kipekee sana
Indeed brotherKweli mtu huvuna alichopanda
Mkuu wewe karibia uwe moddHahahaha
Let us keep on sowing the seedsIndeed brother
Mimi maziwa
Mpe yote itapendeza zaidi. [emoji125] [emoji125] [emoji125]Fresh ama???!! maziwa nanini??
Tena kali haswa maana kupenda muarabu si jambo dogo ni sawa na kumpenda mtoto wa raisi wa north koreaSitokosa maana naona stori kali.
Hahahahaha ISIS moderator [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu wewe karibia uwe modd
Naomba utabiri wangu ukitimia unikumbuke🙂🙂
Kweli ninja maana hii rangi huwa inachanganya kiasi chake.Tena kali haswa maana kupenda muarabu si jambo dogo ni sawa na kumpenda mtoto wa raisi wa north korea