Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Ili mtu aelewe vizuri.Hajaniruhusu wala kasema tuu kama mfano.... kichwa kichafu hivi una nn lakini.
Mifano hai ndio hutolewa
Mrembo jakitoo huo ni mfano hai.
Ili mtu aelewe vizuri.Hajaniruhusu wala kasema tuu kama mfano.... kichwa kichafu hivi una nn lakini.
RIP. Viagra is a hell of a drug!General Sani Abacha1993-1998
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu... Hongera sana kwa kukita kambi hapaKaribu mkuu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivyo hivyo ndo ninampenda tena sana. kichwa kichafu ushindwe na ulegeee katika Jina la Yesu.SHIMBA YA BUYENZE mfanya mazinga ombwe hizo sio pesa ni makaratasi na vipande vya magazeti mama jakitoo hicho kiini macho.
Njoo huku mrembo jakitoo
Nilikuwa chimbo. Ndo naingia hapa!Asante mkuu... Hongera sana kwa kukita kambi hapa
gonga likes upate likesThank you Swissme, Pokea LIKE
Hamna cha mfano hai hapo wala mfu..... nakukemea wewe pepo usiyetaka kuona ndoa yetu ikiwa na amani
jakitoo usimsikilize huyu mfanya viini macho.Mwanamke anayeshawishiwa na Kichwa naye atakuwa takataka tu. Na sitataka kumwona tena wala kusikia habari zake tena maishani mwangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Likegonga likes upate likes
Njoo huku ucheze mwenyewe mamadirty head
Duh:....uko mbali mkuuhivi kumbe 130K imeshapitaa?? 😱 😱
Mfanya viini macho huyuSema baby. Kichwa Kichafu anakutongoza ama?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sema baby. Kichwa Kichafu anakutongoza ama?