Unapenda pesa kuliko kunipenda mimiMapenzi matamu sana mimi na pesa!
Nawewe pia jakitoo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
akuuu wacha nikwende zangu mie.
Muwe na jioni iliyo njema
Mkuu vipi pale kwa carb, babe S, na kale katoto kakisukuma wote unawapitia na kujisepea zako zako. Unatisha jembe pokea likeMfanya mazinga ombwe tu huyo SHIMBA YA BUYENZE kumkamata mtoto mzuri mwenye upaja jakitoo.
Kiini macho ndio anatumia mkuu pale
Love you tooHujanikwaza sistaa. I.U
Aiseeh.Mbunge wa Kawe Mhe.Halima Mdee akiwa Mahakamani kufuatia kesi inayomkabiri ya kuongea maneno machafu dhidi ya mtukufu RaisiView attachment 539072