Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuletee milipuko

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Na mwaka 85 alikiri kosa la ujamaa na akaomba msamaha. Hakuwa mnafki kama waliomfata, leo kiongozi mmoja ndie anajifanya mzalendo wakati miaka michache nyuma alishiriki kuuza nyumba za serikali. Akapiga tenda za barabara mbovu, akanunua kivuko cha hovyo n.k

Kuona kuwa watu wanauliza sana kuhusu kivuko, akaamua akigawe kwa jw na kusema kuwa hiko ni chombo cha jeshi na hakipaswi kujadiliwa. Amejitoa ufahamu kuwa chombo kilinunuliwa kwa pesa za wananchi ili kiingize mapato ktk mfuko wa nchi na kusaidia usafiri wa ndani kwa ndani.

Mtu huyo huyo anasema hapangiwi cha kufanya kwa kuwa form alienda kuchukua mwenyewe, aliyemtangulia naye kajinufaisha yeye na familia yake, akaingia mikataba ya hovyo hovyo ya gas n.k aliyempita pia alijibinafsisha mpaka migodi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…