Jackson 5
Hao wametokea kwenye majukwaa ya jazba na povu, wamepita kusalimia, achana naoHivi hawa watu wanaocomment tuu bila kutoa likes kwa wenzao wanawaza nini
Ikibidi waruke tu isiwe tabuSoon tutawagundua kwa majina yao
Kiongozi binafsi leo nipo hapa muda mwingi kuliko siku zote, na member wameoga like zangu za kutoshaSIO VIZURI KUINGIA NA KWENDA MBELE..LIKES ZA NYUMA KWANZA
UTAKUWA UNAHARIBU KUPEWA LIKES WEWE HUWAPI WENZAKO WALIOPOST KABLA
GONGA PAGE KADHAAA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] mamaaAMUN RA
Pamoja my dear
Mambo ndo hayo, kuwaita wa shinyanga pekee ni kutubagua.Haya basi, wote mnakaribishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mwenye range rover na mimi mwenye vitz wote tupo kwenye foleni ile ile!
Maweeee !!!Kinyesi si mwiba ila ukikikanyanga lazima uchechemee!!
Lazima atuzwe, alikesha wiki kadhaa na mchana kutwa. Heshima kwake na kwetu piaWakuu. It's official. Our own, The Goddess of Goddesses, ISIS - the daughter of Geb and Nut, the sister of Osiris, Seth and Nephthys, the wife of Osiris and the mother of Horus; the goddess of the dead, the magical healer, mfufua wafu and a model for all women AMEVUNJA REKODI ya likes hapa JF na sasa ndiye kinara hapa. It has been done and congratulations for all. Kama kuna party ya kujipongeza huko Masaki basi tunaomba tualikwe! Mzee wa Ini toa ufafanuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rekodi ya zamani kutoka Makapuku:
Rekodi mpya kutoka kwa Malkia wetu
Shimba ya buyenze ageuka na kua refa wa uzi huu 😀😀USIRUKE POST YO YOTE BILA KUTOA LIKES. TOA LIKES KAMATA LIKES. That's how we roll here!
Isis si mujahidina mkuuJamani nampenda Sana ISIS nataka dunia nzima ijue hili