Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaaa hii dhambi sasa,nani huyo alianika simu yako hapa aah
Natania tu Numbisa. Unajua hapa unakuta watu wana notion mbalimbali. Ni sawa na magari. Mwenye Range Rover ana hadhi kuliko mwenye Vitz. Hata hapa nadhani wenye TECNO wasingependa zionekane laivu kwenye signature zao hasa kama wana swagaz. Wenye iPhone na SM Galaxy zao sidhani kama wameghafilika kivile. Nimeona mmoja mpaka alikuwa anaandika signture ya iPhone 7 yake manually japo alikuwa anakosea Kiingereza. Ni shida!
 
Haki ya Mola wangu walahi
Shimba! hahahaha
Umeona eeeh! Kumbe mpaka hata ile hadithi ya Musa kuwekwa kwenye kikapu na kuelea Mto Nile; na taswira ya Maria Mtakatifu na mtoto wake Yesu yaweza kuwa imetokana na huyu Goddess. Nakusoma soma sana malkia wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…