Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Natania tu Numbisa. Unajua hapa unakuta watu wana notion mbalimbali. Ni sawa na magari. Mwenye Range Rover ana hadhi kuliko mwenye Vitz. Hata hapa nadhani wenye TECNO wasingependa zionekane laivu kwenye signature zao hasa kama wana swagaz. Wenye iPhone na SM Galaxy zao sidhani kama wameghafilika kivile. Nimeona mmoja mpaka alikuwa anaandika signture ya iPhone 7 yake manually japo alikuwa anakosea Kiingereza. Ni shida!
I expected that! hahahaha
 
Back
Top Bottom