Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
umekuwa adimu humu mkuuNipe like
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Kweli director..Hizi teckno zinatuaibisha sasa
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
BoyzGirls
sent from my iPhone 7 using Jamiiforums mobile app
Pc yangu ilizingua window sasa nmerud kwenye simumekuwa adimu humu mkuu
Asante mkuuMyoyambendi, Mzee wa Liver na Shimba tujivike jukumu la kukumbushia mara kwa mara kuhusu utoaji wa likes. Ni rahisi sana kwa watu kujisahau!
AiseeHahahahaha hii ya tecno imemkuta jembekillo,kuna sehemu ka comment ikatokea tecno yake wacha ataniwe huko. Saiv akikoment sehemu anamalizia simu yangu haikuhusu pita kuleeee hahahaha
Najuta kupiga kale katick kanakoonesha aina ya sim unayotumiaHizi teckno zinatuaibisha sasa
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Nenda kwenye settingKweli director..
Hivi wakuu nawazaje kuzuia post isije na jina la simu
Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
I expected that! hahahahaNatania tu Numbisa. Unajua hapa unakuta watu wana notion mbalimbali. Ni sawa na magari. Mwenye Range Rover ana hadhi kuliko mwenye Vitz. Hata hapa nadhani wenye TECNO wasingependa zionekane laivu kwenye signature zao hasa kama wana swagaz. Wenye iPhone na SM Galaxy zao sidhani kama wameghafilika kivile. Nimeona mmoja mpaka alikuwa anaandika signture ya iPhone 7 yake manually japo alikuwa anakosea Kiingereza. Ni shida!
Nenda setting --->signatureNajuta kupiga kale katick kanakoonesha aina ya sim unayotumia
Saiv ninahaha kila nikiitafuta ile sehem siioni
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Mzee wa masaki [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Suluhisho lake ni nini sasa mzee wa Masaki? Tujaribu tu kikumbushia tena na tena.
Hahahaha mbavu zangu jamaniNajuta kupiga kale katick kanakoonesha aina ya sim unayotumia
Saiv ninahaha kila nikiitafuta ile sehem siioni
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app