Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huimarisha Meno yako.

Watu kila mara huwa wanajali sana meno yao, na mara nyingine huwa wanashindwa kuyapa kipaumbele kwa saaana.
 
Watu wanaokula nanasi wanakua katika hali nzuri kwa sababu nanasi lina vitamin aina ya Beta Carotene ambayo linausaidia mwili kukabiliana na magonjwa mbalimbali ikiwemo asthma
 
Blood Pressure.
Unapokula nanasi unaongeza potassium na pia kula matunda mengine yenye madini ya potassium yanaweza kukusaidia kupunguza uwezekano wa kupata blood pressure
 
Kansa.
Kama kawaida nanasi lina utajili mkubwa wa vitamin C.
Hii vitamin C inauwezo wa kuzuia virusi ambavyo vinaweza kukusababishia magonjwa mabali mabli ya kansa.
 
Huimarisha Afya ya Moyo.

Utajiri wa madini ya fiber, potassium na vitamin C ni mojawapo ya faida za tunda hili ambazo pia zina uwezo wa kuimarisha afya ya moyo wako na kuzuia maradhi yanayoweza kuuadhiri moyo wako.
 
Faida za zabibu kiafya hujumuisha kusaidia kuondoa kukosa choo yaani mmeng’enyo wa chakula kwenda vizuri, kupunguza uchovu na kuzuia mtoto wa jicho.
 
Virutubisho vilivyopo ndani ya Zabibu:Kwa kila gramu 100 za zabibu zina wastani wa virutubishi vifuatavyo;
 
Back
Top Bottom