Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hulinda Dhidi ya Magonjwa ya Moyo
Zabibu huongeza nitric oxide kwenye damu ambayo huzuia damu kuganda,
 
husaidia kuzuia mafuta kulundikana kwenye mishipa ya damu na ina kampaundi za flavonoids aina za resveratrol na quercetin ambazo husaidia kutoa sumu mwilini
 
Kusafisha Figo
Zabibu zina viondoa sumu (antioxidants) ambazo husaidia kuondoa sumu (free radicals) kutoka kwenye figo
 
Back
Top Bottom