Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: Panya dume' wanaopenda kunywa maziwa mgando huwa na korodani kubwa zaidi na kama akijamiiana kuna uwezekano mkubwa watoto kutoka na afya nzuri zaidi. Baada ya utafiti kufanyika kwa binadamu (Wanaume) matokeo yalikuja sawa
 
Kunguru wa Zanzibar: Waliletwa kwa mara ya kwanza mwaka 1891 kutokea Bombay, India na kupelekwa mji wa Stone Town, Zanzibar kwa lengo la kudhibiti uchafu na takataka zinazoweza kuliwa na ndege hao. Waliletwa 50 tu lakini mpaka sasa wameweza kusambaa mpaka maeneo mengine kama Dsm, Morogoro, Pwani, Lindi...
 
Back
Top Bottom