Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pilipili hoho(capsicum/sweet pepper) siyo kitu kigeni masikioni na machoni mwetu,tunaijua na huwa tunaitumia majumbani mwetu,wengi wetu tunaitumia kama kiungo cha mboga na wengine hutumia katika kutengeneza kachumbari/salads ili kuleta radha na pengine kuipamba kachumbari ionekane ya kupendeza na kuvutia.
 
Back
Top Bottom