antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
..plus your offspring, I suppose 😊
..plus your offspring, I suppose 😊
Aisee!Hata kama umeshakuwa na kikohozi nanasi kwa kiasi flan linaweza kukusaidia kupunguza makali.
😊Tafiti: Panya dume' wanaopenda kunywa maziwa mgando huwa na korodani kubwa zaidi na kama akijamiiana kuna uwezekano mkubwa watoto kutoka na afya nzuri zaidi. Baada ya utafiti kufanyika kwa binadamu (Wanaume) matokeo yalikuja sawa
Aisee!Vitamini A inayopatikana kwenye Karoti, Maini, Tikiti Maji, Maziwa n.k husaidia kuweka sawa vichocheo vya mapenzi.
Of course Tupo Tanzania nzima wenzetu wengine walishavuka boda kitamboKunguru wa Zanzibar: Waliletwa kwa mara ya kwanza mwaka 1891 kutokea Bombay, India na kupelekwa mji wa Stone Town, Zanzibar kwa lengo la kudhibiti uchafu na takataka zinazoweza kuliwa na ndege hao. Waliletwa 50 tu lakini mpaka sasa wameweza kusambaa mpaka maeneo mengine kama Dsm, Morogoro, Pwani, Lindi...
Duh!Kunguru wa Zanzibar: Waliletwa kwa mara ya kwanza mwaka 1891 kutokea Bombay, India na kupelekwa mji wa Stone Town, Zanzibar kwa lengo la kudhibiti uchafu na takataka zinazoweza kuliwa na ndege hao. Waliletwa 50 tu lakini mpaka sasa wameweza kusambaa mpaka maeneo mengine kama Dsm, Morogoro, Pwani, Lindi...
😊😊Tafiti: Kunywa kahawa angalau vikombe 02 kwa siku kwa mwanaume husaidia kuongeza ubora wa mbegu za kiume (shahawa).
Asubuhi ya supu..