Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Madini haya mawili pia ni muhimu kwenye maendeleo ya tishu za mifupa na kuharakisha kupona kwa mfupa ulioharibika au mifupa iliyozeeka. Hii huweza kuzuia hali kama osteoporosis na homa ya uti wa mgongo, kukufanya kuwa imara na mwenye afya kwenye umri wako wa uzee.
 
Huongeza Mzunguko wa Damu
Kama tafiti iliyochapwa kwenye jarida la
'Science of The Total Environment', madini kama copper, iron (madin joto), zinc, magnesium, na calcium yanapatikana kwenye mtama
 
Kukiwa na madini ya kutosha ya copper na iron kwenye mfumo, chembe hai nyekundu za damu huongezeka, hali hiyo huongeza mzunguko wa damu, kuongeza ukuaji wa seli na kurekebisha seli zilizoharibika, na kuongezeka ukuaji wa nywele, wakati kipindi hiko pia huongeza kiwango cha nishati kwenye mwili.
 
Zaidi, kwa matumizi ya kiwango kikubwa ya madini ya aina fulani na vitamin, hatari pekee iliyokuwepo ni kutumia kitu kizuri kupitiliza, kwahiyo kula mtama kwa wastani na faidi faida zote nzuri za kiafya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…