Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakurugenzi wa Inter Milan wamekutana na wakala wa mshambuliaji wa Ajax Sebastien Haller, 27 huku dau la klabu hiyo kumuuza mchezaji huyo wa kimataifa wa Ivory Coast inaaminika ni £29.4m. (La Gazzetta dello Sport, via Football Italia)
 
Meneja wa Leicester City Brendan Rodgers anasema Foxes hao wameanza mazungumzo ya mkataba mpya na kiungo Kiernan Dewsbury-Hall,23. (Leicester Mercury)
 
Hata hivyo, Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 29, ambaye amefanya vyema wakati wa uhamisho wake wa mkopo kutoka Barcelona, lazima apunguze mshahara wake wa pauni 480,000 kwa wiki ili kujiunga na klabu hiyo ya Ligi ya Primia. (Telegraph - subscription required)
 
Juventus wanajianda kuamua ikiwa watamrefushia mkataba mshambuliaji wa Argentina Paulo Dybala, 28, au kushinikiza kumrejesha kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba katika klabu baada ya kumuuza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 kwa Manchester United mnamo 2016.(Tuttosport - in Italian
 
Newcastle ilijaribu kumsajili Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 28 mwezi Januari lakini timu hiyo ya Uhispania haikuwa tayari kumuuza beki huyo. (Goal)
 
Atletico Madrid wanaongoza katika mbio za kumsajili kiungo mahiri wa Ufaransa na Marseille Boubacar Kamara.
 
Manchester United na Newcastle pia wamehusishwa na uhamiso wa mchezaji huyo wa miaka 22- lakini Atletico wanapewa nafasi kubwa ya kupata.
 
Back
Top Bottom