Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hali iliyotukia nchini Indonesia mwaka wa 1997 ni mfano mmoja unaoonyesha jinsi moto unavyoweza kusababisha hasara kubwa sana
 
Mkazi mmoja aliyeogopa kutoka nje ya nyumba yake yenye hewa safi alilalamika hivi: “Sote tu wafungwa nyumbani mwetu.” Ukungu wa moshi ulikuwa mzito sana siku fulani hivi kwamba watu hawangeweza kuona miale ya jua.
 
Mwaka uliofuata wa 1998, wakazi 8,000 wa British Columbia, Kanada, walilazimika kuhama makwao kwa sababu ya moto mkubwa uliokuwa ukisambaa kwa kasi
 
Moto huo ulikuwa mojawapo ya mioto elfu moja hivi iliyoteketeza misitu nchini Kanada mwaka huo—mioto 115 kati yake haingeweza kuzimwa pindi fulani
 
Moto mmoja uliozuka kaskazini mwa Alberta, Kanada, uliteketeza msitu wenye ukubwa wa eka 90,000
 
Mkazi mmoja alisema hivi: “Ulikuwa kama mlipuko mkubwa wa kombora la nyuklia. Wingu kubwa jeusi la moshi lilitanda juu ya eneo lote.”
 
Back
Top Bottom