Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aisee...Kituo cha Kitaifa cha Utafiti wa Hali ya Hewa (NCAR) huko Colorado, Marekani, kinajitahidi kufikia lengo hilo. Watafiti hao wametia vifaa vya kisasa vya kisayansi pamoja na kompyuta saba zilizohifadhiwa kwenye vifuniko vizito ndani ya ndege maalumu aina ya C-130.
Sawasawa...Kuna Mengi ya Kujifunza
Watu wanazidi kuelewa faida na hasara ya moto, lakini athari ya moto katika mazingira ni tata, na bado kuna mengi ya kujifunza.