Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hebu fikiri wewe siyo mtu mwenye nafasi yoyote katika jamii kwa mfano hakuna mtu ambaye anakufahamu wala siyo rahisi kwako kupata nafasi ya kujitambulisha katika jamii,basi njia pekee kujitambulisha kwa urahisi ni kupitia namna unavyochambua na kutatua changamoto zako mwenyewe na za watu wengine.