Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hakuna aliyewahi kupitia changamoto na kubaki na uzoefu ule ule aliokuwa nao kabla ya kuingia kwenye changamoto. Changamoto hutusaidia kukua na kukomaa katika maeneo mbalimbali ya maisha kutegemeana na aina ya changamoto unayopitia.