CHANGAMOTO NI MSIMU
Uzuri ni kwamba changamoto yoyote unayoweza kupitia au unayopitia wewe siyo mtu wa kwanza. Ukifuatilia watu wengi duniani ambao wamefanikiwa sana utabaini kuwa historia ya maisha yao imejaa mlolongo wa changamoto nyingi walizokutana nazo katika maisha ya kuzishinda,lakini pamoja na changamoto hizo hawakukata tamaa hata siku moja na mwisho waliibuka washidi.