antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kiungo wa kati wa Marekani Brenden Aaronson, 21, bado anataka kuondoka Red Bull Salzburg msimu huu na mazungumzo yanaendelea kuhusu uhamisho wake kuelekea Leeds. (Sky Sport Germany)
AiseeWinga wa Ivory Coast Nicolas Pepe, mwenye umri wa miaka 26, amedokeza kuhusu uwezekano wa kuondoka Arsenal mwishoni mwa msimu, miaka mitatu baada ya kutua kwa uhamisho wake uliowekwa rekodi ya klabu wa £72m. (Sun)