Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunda hili la tende limesheheni utajiri wa kiafya ya binadam Baadh ya utajiri uliopo katika tende Wanga, Vitamin B1 B2 B3, Protini, nyuzi nyuzi (fibers), Magnesium, potassium na mafuta hizi ni baadh ya vilivyomo katika Tende
Sawasawa!
 
Mwanamama mjamzito anatakiwa kutumia tende kama chakula katika kipindi chote cha ujauzito au ikiwa bado wiki au mwezi kabla ya kujifungua hii humsaidia kwa kumrahisishia kuzaa kwa wepesi lakini pia wakati anapokuwa na uchungu humsaidia kupunguza makali ya uchungu wa uzazu Ulaji wa tende kwa mama mjamzito humsaidia pia katika kukuza kizazi na kutomfanya amwage dam nyingi wakati wa kujifungua na hata baada ya kujifungua anatakiwa aendelea kula kwasabab ya kumuondolea maumivu ya uzazi pamoja na kusafisha kizazi
Aisee!
Habari nzuri hii
 
UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Kwa matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume, mchanganyiko maalum wa tende, maziwa, asali na unga wa hiriki vinaweza kuondoa tatizo lako. Chukua kiasi cha kiganja kimoja cha tende, loweka kwenye maziwa ya mbuzi kiasi cha lita moja na yakae usiku kucha. Asubuhi, zisage tende hizo kwenye maziwa hayo hadi zichangayike, kisha weka asali kiasi cha vijiko vitatu au vinne vikubwa pamoja na unga wa hiriki, kiasi cha nusu kijiko kidogo. Kisha kunywa mchangayiko huo kila siku hadi utakapoona mabadiliko ya kuridhisha.
😊😊
 
Shoka halikumbuki mti lililoukata, bali mti huo huikumbuka shoka ile.


Katika hekima hii inatuonyesha katika maisha, unaweza ukamfanyia mtu kitu ambacho kitagusa maisha yake pasipo kujali kitu hicho ni kibaya au kizuri, lakini kumbukumbu inakuwa inabaki sana kwa yule aliyeguswa na alichofanyiwa.
Kweli
 
Mshambuliaji wa Ujerumani Timo Werner anataka kuondoka Chelsea na 'the Blues' hawatamzuia nyota huyo mwenye miaka 26 ikiwa timu zitafika bei yake ya pauni milioni 33. (Sport1)
 
Kiungo wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba, 29, itabidi apunguze mshahara wake kwa kiwango kikubwa kama anataka kurejea Juventus msimu huu. (Calciomercato - via Mail)
 
Back
Top Bottom