Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunda hili la tende limesheheni utajiri wa kiafya ya binadam Baadh ya utajiri uliopo katika tende Wanga, Vitamin B1 B2 B3, Protini, nyuzi nyuzi (fibers), Magnesium, potassium na mafuta hizi ni baadh ya vilivyomo katika Tende
Sawasawa!
 
Aisee!
Habari nzuri hii
 
😊😊
 
Kweli
 
Mshambuliaji wa Ujerumani Timo Werner anataka kuondoka Chelsea na 'the Blues' hawatamzuia nyota huyo mwenye miaka 26 ikiwa timu zitafika bei yake ya pauni milioni 33. (Sport1)
 
Kiungo wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba, 29, itabidi apunguze mshahara wake kwa kiwango kikubwa kama anataka kurejea Juventus msimu huu. (Calciomercato - via Mail)
 
Mshambuliaji wa Benfica Darwin Nunez, 22, anayewaniwa na Tottenham, ataruhusiwa kuondoka kama dili la pauni milioni 67 litafikiwa msimu huu. (O Jogo - via Sport Witness)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…