Wakati madaktari na wanasayansi wanahangaika kila siku katika kutafuta tiba za magonjwa sugu na kumuwezesha binadamu kuishi muda mrefu duniani, kuna watu hawalali wakibuni silaha nzito ili kuuwa watu duniani.
Haijalishi una akili kwa kiasi gani, ila ukweli ni kwamba kama hutoweza kuishi na watu vizuri basi mafanikio kwako yatabaki kuwa kama ndoto isiyotimia"....
Katika vyote vizuri unavyovitafuta weka kipaumbele mambo matatu ya msingi jambo la kwanza ni afya, hakikisha unakuwa na afya bora, hautafahamu afya ina umuhimu gani mpaka utakapoanguka kuumwa, la pili tafuta mahusiano mazuri na watu, ukiwa na mahusiano mazuri na watu utakuwa na
na uwezo na nafasi ya kufanya mambo yako na jambo la mwisho ni uwezo wa kutatua matatizo. Hivyo vitatu vitakupatia kila kitu unachojaribu kukitafuta hapa duniani..
Kutofanya makosa kwenye kila ninachokifanya kunanipa mashaka sana juu ya uwezo wangu utakavyokua baada ya mimi kuanza kumudu huo ujuzi ninaojifunza kwa sababu mimi sijui kitu chochote kile kuhusu chochote.."
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.