mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
👍Katika vyote vizuri unavyovitafuta weka kipaumbele mambo matatu ya msingi jambo la kwanza ni afya, hakikisha unakuwa na afya bora, hautafahamu afya ina umuhimu gani mpaka utakapoanguka kuumwa, la pili tafuta mahusiano mazuri na watu, ukiwa na mahusiano mazuri na watu utakuwa na
😂😂😂Njia pekee yakupunguza Marafiki Ni kuwatangazia unashida
😂Kuna watu wanapenda utani huku unajua una deti nae kumbe yeye yupo kwenye utani aiseeee nyieeee