Wataalamu wanaelezea tikiti maji kama tunda ambalo ni muhimu sana kwa afya ya binadamu, kwasababu ina madini ya hali ya juu ikiwa ni pamoja ya Vitamini, Midini, Vizuia oksidi na Mafuta.
Tikiti maji lina asilimia 92 ya maji, ikimaanisha kuwa wale wanaotumia tunda hilo hawana hofu ya kukabiliwa na ukosefu wa maji mwilini, anasema mtaalamu wa masuala ya lishe bora Maijidda Badamasi Burji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.