Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ili mwili ufanye kazi vizuri na kuweza kuendelea kuishi, lazima uwe na vikemikali vinavyolipuka na vitu vya asidi ili kutengeneza chumvi na kutoa umajimaji wenye nguvu ya haidrojeni (ya baina ya 7 na 7.5) na uwe na kipimo cha haidrojeni chenye urari kamili kwa sababu saba
 
Kula chakula chako taratibu, usile chakula kwa haraka, weka umakini kwenye chakula, furahia ladha ya chakula, usile ukiwa unafanya mambo mengi kama vile kuchezea sikmu au kuongea sana.
 
Tafuta muda wa kutembea, tazama mazingira, tazama uoto wa asili, sikiliza sauti za ndege, tazama bahari, na tumia muda kuwa peke yako ukiwa unatafakari na kufurahia ukimya kwa asubuhi au jioni.
 
Tumia muda kidogo kutazama kitu chochote ambacho kitakufanya ufurahi. Tazama kipindi cha television au video ambayo itakufanya ucheke na kufurahi. Sio lazima utazame kwa muda mrefu, bali unaweza kutenga dakika chache tu.
 
Katika siku yako hakikisha unatumia muda kufanya kitu ambacho unapenda. Piga gitaa, andika, cheza mchezo uupendao, imba au fanya chochote unachopendelea.
 
Back
Top Bottom