A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,921 antimatter said: Inaweza kuwafanya watoto kupatikana na ugonjwa hatari unaojulikana kama Reye syndrome ambayo inaweza kuathiri (ini au ubongo). Click to expand... π
antimatter said: Inaweza kuwafanya watoto kupatikana na ugonjwa hatari unaojulikana kama Reye syndrome ambayo inaweza kuathiri (ini au ubongo). Click to expand... π
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,922 Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu na uvimbe huchangia ongezeko la hatari ya kupata maradhi ya moyo, utafiti umebaini.
Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu na uvimbe huchangia ongezeko la hatari ya kupata maradhi ya moyo, utafiti umebaini.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,923 DiCLOFENAC NA DAWA ZINGINE:
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,924 Watu wengi hutumia dawa mbalimbali za kutuliza maumivu ya mwili, maumivu ya mguu au maumivu ya kichwa.
Watu wengi hutumia dawa mbalimbali za kutuliza maumivu ya mwili, maumivu ya mguu au maumivu ya kichwa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,925 Hasa ikiwa unapata maumivu kwa sababu yoyote, kununua ibuprofen au diclofenac kutoka kwa maduka ya dawa na kuanza kuitumia.
Hasa ikiwa unapata maumivu kwa sababu yoyote, kununua ibuprofen au diclofenac kutoka kwa maduka ya dawa na kuanza kuitumia.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,926 ''Inaweza kusababisha matatizo ya tumbo, kuharibu tumbo, na kusababisha kutokwa na damu.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,927 Matumizi ya muda mrefu ya madawa haya yanaweza kusababisha kutokwa na damu ya utumbo.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,928 Baaadhi ya watu wanakabiliwa na mmeng'enyo mbaya wa chakula, wana vidonda, na wanaweza kuwa waraibu wa dawa za kulevya.
Baaadhi ya watu wanakabiliwa na mmeng'enyo mbaya wa chakula, wana vidonda, na wanaweza kuwa waraibu wa dawa za kulevya.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,929 Dawa kama vile Ibruprofen, Naproxen na Diclofenac ndizo dawa hutumiwa sana kupunguza maumivu na kuvimbiwa.
Dawa kama vile Ibruprofen, Naproxen na Diclofenac ndizo dawa hutumiwa sana kupunguza maumivu na kuvimbiwa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,930 METRONIDAZOLE:
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,931 Dawa nyingine ambayo inatumiwa vibaya inafahamika kama metronidazole.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,932 Baadhi ya watu huzinunua bila maelekezo ya daktari wakiwa na maumivu makali ya tumbo kwani pia ni aina ya dawa ya kutuliza maumivu.
Baadhi ya watu huzinunua bila maelekezo ya daktari wakiwa na maumivu makali ya tumbo kwani pia ni aina ya dawa ya kutuliza maumivu.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,933 Madhara ni pamoja na upele na kuvimbiwa..
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,934 Kisha yanafuatiwa na shida nyingine kama kutokwa na damu katika sehemu za siri.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,935 Mgonjwa anapata choo kigumu, ambacho kinasababisha maumivu wakati wa kwenda haja kubwa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,936 DAWA ZINGINE HATARI ZAIDI:
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,937 Baadhi ya watu hununua dawa za tezi au steroid kutoka kwa maduka ya dawa kwa matatizo ya koo.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,938 Lakini matatizo ya dawa hizo kiholela yanaweza kuwa na madhara makubwa kwa afya.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,939 Madaktari wa kitaalam wametoa ushauri juu ya matamizi ya dawa hizi.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 8, 2022 #1,321,940 β Ikiwa una tatizo la dharura sana kama vile maumivu, hata ukinunua dawa moja au mbili za dharura kutoka kwa duka, unahitaji kushauriana na daktari haraka iwezekanavyo.
β Ikiwa una tatizo la dharura sana kama vile maumivu, hata ukinunua dawa moja au mbili za dharura kutoka kwa duka, unahitaji kushauriana na daktari haraka iwezekanavyo.