Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tembo huwa habadilishi njia ya kipita yaani akipita leo basi wataendelea kupita hapo hapo wengine hata kama alie pita mwanzo alikufa hii ni kwasababu anapopita sehemu kwa mala ya kwanza huweka alama ya kunya mavi na wakati wa kurudi hupita njia hiyo hiyo sawasawa na mbwa
 
Mbwa yeye huweka alama ya mkojo kama sehemu anayoenda ni kugeni na ndio maana mbwa akiwa anarudi kutoka sehemu ngeni huangalia chini hii Inamaana hunusa ule mkojo aliokojoa kama alama ili asipotee.
 
Back
Top Bottom