Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Licha ya ukubwa alionao Tembo lakini akitembea hatoi kishindo hata kidogo hii ni kwasababu miguu yake kwa chini kwenye unyayo ipo kama sponji
SawasawaKila imani ulimwenguni inazungumzia kuhusu umuhimu wa upendo.
Kweli..Je KWELI ni nini?
KWELI ni uhalisia
🤣🤣🙏Ukiacha binadamu tembo ndio mnyama pekee mwenye kidevu.
Duuh!Tembo kwa siku hula kilo 300 ,
Aisee!Tembo kwa siku hunywa Lita 160 za MAJI,
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏