Tembo huwa habadilishi njia ya kipita yaani akipita leo basi wataendelea kupita hapo hapo wengine hata kama alie pita mwanzo alikufa hii ni kwasababu anapopita sehemu kwa mala ya kwanza huweka alama ya kunya mavi na wakati wa kurudi hupita njia hiyo hiyo sawasawa na mbwa