Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
pia anafahamika kwa kutenga vitoto vya ndege wale walioatamia (ndege wenyeji), ambapo hutenga mayai ya mwenyeji wake na kuyapasua au kuua vifaranga kwa kutumia midomo yao ambayo kwa juu umeumbika kama sindano iliyochongeka mwishoni.