Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika hatua za mwanzo watoto wa mamba hutumia samaki kama chakula chao, kwa kadri muda unavyokwenda watoto hao nao huanza kuwinda wanyama na zoezi hilo huwa jepesi kwa kuwa idadi kubwa ya wanyama hufuata maji katika makazi yao
 
Kwa taarifa yako, mamba ni miongoni mwa wanyama wakubwa duniani, meno yake yamejipanga kwa mfano wa msumeno, ana macho makubwa, ngozi ngumu na mkia mrefu ambao humsaidia katika kuwinda, hupendelea kukaa kwenye maji lakini jua linapochomoza na linapo karibia kuzama, ndio wakati hutoka majini na kukaa nchi kavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…