Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama Venezuela, Ecuador, bolvia, guyana, suriname na France guiana.
 
katika msitu wa amazon kuna mto umekatisha mto huo unaitwa mto amazon huu ndio mtu mkubwa zaidi duniani na unaingiza maji baharini mara 5 ya mito mingine maajabu ya mto huu kuna muda haueleweki kuna kipindi unapeleka maji kinyume badala ya maji kwenda mashariki yana kuwa yana toka mashariki kwenda magharibi.
 
Asilimia 20% ya oxygen iliyopo dunia inatengenezwa katika msitu wa amazon acha hili pia zaidi ya asilimia 70% ya madawa ya kisasa yana tengenezwa kwa kutumia miti inayo patikana ndani ya msitu wa amazon. Ndio maana unaitwa mapafu ya dunia.
 
katika msitu wa amazon kuna makabila zaidi ya 50 yana ishi hapo watu wameishi kwa maelfu ya miaka iliyo pita lakini watu hao wamekuja kuonekana miaka ya hivi karibuni.
 
American jaguar

Huyu anapatikana msitu wa amazon pekee Ni mnyama jamii ya paka huyu kafanana na duma ila yeye ni mweusi mwili mzima kama kiwi😂 anapendelea sana kujificha juu ya miti mirefu ana uwezo mkubwa kuogelea ni mnyama mwenye speed kali sana ukimtoa duma .
 
poison dork frog

Ni aina ya vyura wanaopatikana msitu wa amazon pekee wana sumu kali katika migongo yao mfano uchukue mwiba uchome ugongo wa chura hao kisha ujichome mwiba huo uvuki dakika kumi tunakua tusha kukosa😂
 
black caiman
Ni aina ya mamba wenye rangi nyeusi Hawa ni baadhi tu pia inasemekana nyoka mkubwa zaidi kuishi duniani aina ya titanoboa aliishi hapo Kizazi chake hakipo tena masalia ya nyoka huyo yanapatikana nchini colombia
 
Vyakula vingi ambavyo tunakula vinatokana na mimea kutoka Amazon! Mfano Ndizi, Pilipili nyeusi, Chocolate, kahawa, mahindi, mchele na nyanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…