Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mujibu wa Mamlaka za Brazil, inadaiwa mpaka sasa mioto 75,000 zimeteketeza msitu huo na jitihada za kuuzima zinaendelea, moto mkubwa zaidi umewahi kutokea ndani ya Amazon mwaka 2013, lakini pia mwaka jana mioto 33,000 ziliteketeza msitu huo lakini huu wa sasa unaonekana kutekeleza eneo kubwa zaidi!
 
Fikiria kuhusu Aguaruna, moja kati ya makabila makubwa zaidi nchini Peru. Wanaabudu miungu mitano tofauti: “Baba Shujaa wa Vita,” “Baba wa Maji,” “Mama wa Dunia,” “Baba wa Jua,” na “Baba wa uganga.” Wengi wanaamini kwamba wanadamu wanabadilishwa kuwa mimea na wanyama. Kwa kuwa wanaogopa kuwakasirisha viumbe wa roho, wenyeji huepuka kuwaua wanyama fulani nao huwawinda wengine inapohitajika tu.
 
Waganga ndio husimamia maisha ya kidini na ya kijamii. Wao hutumia mimea kujipumbaza akili. Watu fulani katika maeneo hayo huwatazamia waganga hao watibu magonjwa, watabiri jinsi uwindaji na mavuno yatakavyokuwa, na kutabiri matukio ya wakati ujao.
 
Urusi imemtaka Balozi wa Jamhuri ya Czesh nchini Urusi, Mwanadiplomasia Mwandamizi Vitezslav Pivonka kuondoka nchini humo haraka iwezekanavyo kabla siku ya April 16,2022 haijamalizika "Ikifika April 17,2022 tusikuone kwenye ardhi ya Urusi" Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi, imesema Pivonka aliitwa Ubalozini na kuambiwa aondoke haraka iwezekanavyo ambapo Urusi imemuondolea pia kinga ya Udiplomasia na sasa Maafisa wa Urusi wanaruhusiwa kumkamata au kumshtaki kama atakaidi agizo la kuondoka Urusi. Urusi imesema imefikia hatua hiyo kama sehemu ya kulipiza kisasi baada ya Jamhuri ya Czech kumtimua Mwanadiplomasia Mrusi anayefanya kazi Ubalozi wa Urusi nchini humo.
 
Kijana wa Nairobi nchini Kenya, Alvin Linus Chivondo (22) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja kwa kosa la kuiba chakula na bidhaa nyingine Naivas Supermarket licha ya Kijana huyo kujitetea kwamba aliiba kutokana na hali ngumu ya maisha, njaa na pia alitaka chakula cha kwenda kulisha Familia yake. Alvin amehukumiwa kwa kuiba mchele kg 5, lita 5 za mafuta ya kula, sukari kilo 2 na bidhaa nyingine ambavyo vyote kwa ujumla vina thamani ya Ksh. 3,165 (Tsh. 63,977) Mahakama ya Sheria Milimani imesema Alvin alifanya kosa hilo April 10,2022 ambapo ili kukwepa kifungo ilimpa Alvin adhabu ya kulipa faini ya Ksh. 100,000 (Tsh. 2,021,394) ambayo hata hivyo alishindwa kuilipa na kupelekwa gerezani.
 
Wawindaji wanne wametiwa nguvuni na mamlaka ya uhifadhi wa misitu Nchini India Maharashtra, kwa tuhumza za kumbaka kenge kwa zamu (gang-raping). Katika taarifa iliyotangazwa na Mamlaka hiyo imeeleza kuwa tukio hilo limebainika baada ya kufanya uchunguzi kwenye simu za wawindaji hao haramu (4), baada ya uchunguzi waliona Picha za Video wakifanya kitendo hicho ambacho kimepekea watu walio wengi kukumbwa na mshangao. Awali wawindaji hao walianza kutiliwa shaka na Mamlaka hiyo, ndipo wakaanza kufuatiliwa kupitia kamera maalum (cctv), zilizopo hifadhini humo. Inaelezwa kuwa mara baada ya uchunguzi kukamilika watu hao watachukuliwa hatua za kisheria, ambapo kifungo cha juu zaidi kwa kosa hilo ikitajwa huwa ni miaka 7 gerezani. Kenge aliebakwa kwa zamu ni aina ya kenge wakubwa wanaojulikana kama bengal monitor lizards, ambao ni moja ya viumbe vinavyolindwa sababu ya kuwa hatarini kutoweka katika uso wa dunia.
 
Back
Top Bottom