Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fulham awanakariba kukamilisha mkataba wa pauni milioni 7 kwa ajii ya wing awa Shakhtar Donetsk na Israel Manor Solomon, mwenye umri wa miaka 22, kama mchezaji anayekuja kukaba pengo la mshambuliaji Mreno mwenye umri wa miaka Fabio Carvalho, ambaye yuko tayari kujiunga na Liverpool. (Mail)
 
Wawakilishi wa Paulo Dybala wako katika mazungumzo na Inter Milan kuhusu uhamisho huru kutoka mahasimu wa klabu ya Serie A Juventus, huku maktaba wa mchezaji huyo nyota mwenye umri wa miaka 28-wa Argentina ikitarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu. (Gazzetta dello Sport - in Italian)
 
Pep Guardiola yuko makini katika kumuongeza kiungo wa kati wa klabu ya River Plate Enzo Fernandez katika kikosi chake, ambapo amekuwa akimfuatilia kwa mchezaji huyo wa miaka 21-baada ya Manchester City kusaini mchezaji mwenzake na Julian Alvarez, 22,ambaye wametoka nchi mmoja katika mwezi wa Januari . (Goal)
 
Mshambuliaji wa Aston Villa Muingereza Danny Ings, 29,anaweza kupewa ofa katika Brighton katika mkataba wa kubadilishwa na kiungo wa kati wa timu ya kimataifa ya Mali mwenye umri wa miaka 25 Yves Bissouma, huku Steven Gerrard akipanga kusafisha zaidi kikosi chake na kukijenga upya katika Villa Park. (Mirror)
 
Mchezaji wa Chelsea Romelu Lukaku anaweza kuishia kurejea tena San Siro kama qrais wa zamani wa Inter Milan Massimo Moratti anasema klabu hiyo ya Serie A ina uamuzi mgumu wa kuchukua kati ya kusaini mkataba na mshambuliaji huyo wa mbelgiji mwenye umri wa miaka 28- na mshambuliaji wa Juventus na Argentina Paulo Dybala, 28. (Rai, via Goal)
 
Kiungo wa safu ya kushoto-nyuma wa Besiktas , Ridvan Yilmaz, mwenye umri wa miaka 20, anaweza kuunganishwa na mchezaji mwenzake katika timu ya kimataifa ya Ururuki Caglar Soyuncu katika Leicester, huku mbweha wakiandaa dau la pauni milioni 8.3 (10m euros) kuweza kuzipiku Torino na Stuttgart ambazo pia zinammendea. (TGRT Haber - in Turkish)
 
Back
Top Bottom