Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Newcastle wanataka kumfanya Christian Eriksen wa Brentford kuwa mchezaji ''kinara''wao ambaye watasaini mkataba naye msimu ujao na watashindana Tottenham, Everton na West Ham kumsaka kiungo huyo wa kati Mdenmark mweney umri wa miaka 30, huku Nyuki (the Bees)wakiwa makini kurefusha mkataba wake katika klabu hiyo ya magharibi mwa London. (Northern Echo)
 
Edinson Cavani anaweza kuwa silaha ya siri ya Manchester United katika kusaini mkataba na mshambuliaji mwenzake wa Uruguay Darwin Nunez kutoka Benfica msimu huu, huku mshabuliaji Cavani, 35, akiwapatia mashetani wekundu sifa nzuri za mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22. (90 Min)
 
Back
Top Bottom