Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mungu awaponye wagonjwa popote walipo [emoji120] [emoji2969]
Aisee!Msitu wa Amazon unakadiriwa kuwa na miti billion 400 na aina mbalimbali za miti zaidi ya 160,000 pia kuna miti ya matunda tofauti tofauti elfu tatu katika msitu huo.
Duuh!Mchanga wa jangwa la sahara hupeperushwa na upepo hupita juu ya bahari Atlantic hadi katika msitu wa amazon ambako hurutubisha katika msitu huo
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏