A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,061 Kwa hivyo kama unataka kuboresha uwezo wa ubongo wako basi kuwa tayari kufanya mambo haya.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,062 1. Mazoezi hufanya ubongo wako kuwa mkubwa
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,063 Ni kweli ubongo wetu huwa mkubwa wakati tunafanya mazoezi.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,064 Mazoezi huchangia ubongo kuwa na mawasiliano mazuri na pia huchangia seli zaidi kukua.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,065 Kama unafanyia mazoezi yako nje basi inakuwa bora kwa sababu utakuwa na manufaa zaidi ya kupata vitamini D
Kama unafanyia mazoezi yako nje basi inakuwa bora kwa sababu utakuwa na manufaa zaidi ya kupata vitamini D
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,066 Fanyia mazoezi katika mazingira mapya na njia mpya za kufanya mambo mengine.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,067 2. Kariri vitu ukiendelea na shughuli zingine.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,068 Kufanya kazi shambani ni muhumu wa sababu unakufanya kufikiria
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,069 Hii ni mbinu ambayi pia imetumiwa na wacheza filamu:
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,070 kama unajaribu kukariri maneno fulani au kujaribu kujifunza kitu huku ukitembea tembea, unaweza kushika kwa njia rahisi kile unachokariri.
kama unajaribu kukariri maneno fulani au kujaribu kujifunza kitu huku ukitembea tembea, unaweza kushika kwa njia rahisi kile unachokariri.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,071 Ikiwa wakati mwingine utakuwa labda na hotuba ya kukariri, mbona usitembeetembee au ucheze densi kukusaidia kushika kwa njia rahisi kile unachokifanya.
Ikiwa wakati mwingine utakuwa labda na hotuba ya kukariri, mbona usitembeetembee au ucheze densi kukusaidia kushika kwa njia rahisi kile unachokifanya.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,072 3. Kula chakula kinachosaidia kukua kwa ubongo.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,073 Chakula bora ni muhimu kwa kukua kwa ubongo
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,074 Karibu asilimia 20 ya sukari au chakula cha kutupa nguvu unachokula kinaelekea kwa ubongo, na kuufanya ubongo kutegemea sana sukari.
Karibu asilimia 20 ya sukari au chakula cha kutupa nguvu unachokula kinaelekea kwa ubongo, na kuufanya ubongo kutegemea sana sukari.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,075 Ikiwa viwango vya sukari haviwezi kudhibitiwa akili yako itahisi kuchanganyikiwa.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,076 Ukila chakula unachokipenda hutoa kemikali inayojulikana kama dopamine kwa eneo fulani la ubongo na ndio maana unahisi vizuri ukila chakula hicho.
Ukila chakula unachokipenda hutoa kemikali inayojulikana kama dopamine kwa eneo fulani la ubongo na ndio maana unahisi vizuri ukila chakula hicho.
Mervin JF-Expert Member Joined Sep 28, 2021 Posts 1,956 Reaction score 2,731 Apr 15, 2022 #1,323,077 antimatter said: Ijumaa Kuu Click to expand... Marufuku kula NYAMA
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,078 Seli za ubongo hujengwa kwa mafuta, kwa hivyo ni muhimu kutotoa mafuta kutoka kwa chakula chako.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,079 Mafuta kutoka kwa njugu, nafaka , parachichi na samaki ni muhimu kwa afya ya ubongo.
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Apr 15, 2022 #1,323,080 4. Kupumzika.