ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
👌...pindi ulapo tunda hili unaweza kupata nishati ya kufanya kazi ya muda wa dakika 90 endapo utakuwa umekula ndizi mbili tu na kwa sifa hiyo tunaweza kusema ndizi huenda likawa tunda muhimu sana pia kwa wanamichezo.
Lakini mbali na hayo pia hivi karibuni wanafunzi wapatao 200 katika shule ya Twickenham nchini Uingereza, waliweza kufaulu mitihani yao kwa kula chakula cha mchana, ambapo inaelezwa kuwa ndizi ziliongeza uwezo wao wa kufikiri
So, inafaa kushauri wanafunzi kujizoesha kula ndizi mbivu badala ya ice cream + vijuisi vya kijoti 😊Hii ni kwasababu utafiti unaonesha kuwa 'potassium' inayopatikana kwa wingi katika ndizi inaaminika kuwa na uwezo wa kumsaidia mwanafunzi kuamsha uwezo wake wa kufikiri zaidi.