Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini mbali na hayo pia hivi karibuni wanafunzi wapatao 200 katika shule ya Twickenham nchini Uingereza, waliweza kufaulu mitihani yao kwa kula chakula cha mchana, ambapo inaelezwa kuwa ndizi ziliongeza uwezo wao wa kufikiri
Hii ni kwasababu utafiti unaonesha kuwa 'potassium' inayopatikana kwa wingi katika ndizi inaaminika kuwa na uwezo wa kumsaidia mwanafunzi kuamsha uwezo wake wa kufikiri zaidi.
So, inafaa kushauri wanafunzi kujizoesha kula ndizi mbivu badala ya ice cream + vijuisi vya kijoti 😊
 
Miji yenye gharama zaidi ya kuishi kwa Afrika;

1. Addis Ababa, Ethiopia
2. Abidjan, Ivory Coast
3. Harare, Zimbabwe
4. Johannesburg, South Africa
5. Pretoria, South Africa
6. Gaborone, Botswana
7. Capetown, South Africa
8. Accra, Ghana
9. Marrakesh, Morocco
10. Windhoek, Namibia
 
Miji yenye gharama zaidi ya kuishi duniani;

1. Tel Aviv, Israel
2. Paris, France
2. Singapore
4. Zurich, Switzerland
5. Hong Kong, China
6. New York, US
7. Geneva, Switzerland
8. Copenhagen, Denmark
9. Los Angeles, US
10. Osaka, Japan

Chanzo: weforum
 
Jua linatoa cheche ambazo muda mwingine huwa zinafika karibu na anga la dunia. Mara ya mwisho cheche ya jua kukaribia duniani ilikuwa tarehe 3 Septemba 2012 ambapo iliikosa duniani kwa karibu sana.
 
Venus Flytrap' ni jamii ya mimea ambayo hula wadudu. Majani yake yana vinywele ambavyo mdudu akigusa tu, ndani ya nusu sekunde mdudu huyo hufunikwa, Baada ya hapo hutoa kemikali ambayo huanza kummeng'enya taratibu na hujifungua baada ya shughuli kumalizika.
 
Licha ya kuwa sayari ya Mercury ipo karibu zaidi na Jua, Venus ambayo ni ya pili ndio yenye joto zaidi kuzidi sayari zote katika mfumo wetu wa Jua. Sababu ni anga lake lina hewa nyingi ya Carbon Dioxide ambayo hutunza joto ambalo hufikia hadi Centigrade 465.
 
Tafiti: Unaweza kutambua kiasi gani unapendwa kupitia "Mabusu" (kisses) mnazopeana na mwenza wako. Uwepo wa "kisses" za kutosha ni moja ya ishara ya upendo mkubwa pamoja na uhusiano wenye furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…